mtukufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Tanzanite

    Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

    Assalaam alaykum, Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini.... Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi...
  2. Father of All

    Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  3. M

    Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kupokea Shahada ya Heshima nchini India, Unastahili "NOBEL

    Na Mwl Udadis, Tarime Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameingia katika rekodi ya viongozi wachache Duniani kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru. Naungana na wanazuoni kote Duniani kutoa pongezi za dhati kwake kwa...
  4. The Legacy

    Mtukufu Malkia,Vikaragosi wameanza kutoa Siri huku, wanaropoka huku wanajirekodi Kikaragosi mkuu alisikika akimuambia mchawi Karaba

    Sijamtaja mtu nimekumbuka katuni ya Kirikuu. Chama cha kijani kinaandwa na laana ya kuropoka ropoka Alianza Waziri Pena, Akaja, Mama yangu Kumwita Mnyama jina la Binadamu. Mara Mbwa. Chura Simba Muwe na usiku mwema. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika...
  5. GENTAMYCINE

    Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  6. GENTAMYCINE

    Niliposema kuwa Mwezi huu Mtukufu kuna Timu haitafanya vyema kwakuwa Majini yanauheshimu mkabisha mpo wapi leo?

    Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King! Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei. Msione aibu...
  7. Kabende Msakila

    Ilitakiwa Uchaguzi Mkuu ufanyike kipindi cha Mwezi Mtukufu au Kwaresma?

    WanaJf, Salaam! Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura. Kwa uongozi wa Serikali wenye imani juu ya uislamu kipindi cha mfungo wa Ramadhan huwa ni mwezi wa toba na kumrudia...
  8. S

    Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio maisha ya kuishi kila siku

    Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani. Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii: "Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
  9. Webabu

    Netanyahu apata kiwewe cha vita.Ataka vita vimalizike Rafah kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Mashinikizo ya vita yameanza kumuelemea waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na kuanza kuona dalili mbaya mbele yake. Marekani mbali na kutofautian naye katika sera za kivita vile vile imesimamisha misaada kifedha katika wakati ambapo uchumi wa Israel unadidimia kiasi kwamba bondi za miamala...
  10. Sultan MackJoe Khalifa

    Rais wa FIFA Gianni Infantino na Mo Dewji kuzungumza baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    Duru za habari za michezo zimeripoti kuwa baada ya ufunguzi pamoja na mechi kati timu yenye hadhi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano mbalimbali hapa Duniani Simba sports club Vs Al ahly. Baada ya ufunguzi patakua na mazungumzo kati ya Rais wa FIFA Gianni Infantino, Rais wa CAF Patrice...
  11. R

    Huu ni mwezi mtukufu, natabiri Rais Samia atachukua point zote tatu atakapoulizwa kuhusu ndoa za jinsia moja

    Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja. Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
  12. L

    Waislamu wa Xinjiang wanavyotekeleza ibada ya Kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa uhuru

    Wiki iliyopita Waislamu zaidi ya bilioni moja kote duniani walianza kutekeleza nguzo ya nne ya Uislamu ambayo ni kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo China, ndani ya kipindi hiki Waislamu hutekeleza imani yao kwa uhuru bila kubanwa. Kwa hivyo kwa wale ambao...
  13. The Assassin

    Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti misikitini.

    Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani unaotarajia kuanza tarehe 22 mwezi huu, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti na matangazo ya mahubiri misikitini. Soma hapa...
  14. Google Diggers

    Mnyama twiga namuona kama mtukufu sana hastahili hata kuwindwa na simba

    Ndugu zangu nampenda Ssana twiga. Napata shida sana anapowindwa na simba. Simba angejua angewinda wote akamuacha twiga. Sababu kubwa ni upole wake na upekee twiga is a beautiful animal Simba please don't hunt twiga. Fikiria fisi akimsumbua twiga hell no hawa akina 🦊 wawawinde wanaostahili...
  15. L

    Waislamu wenyeji na wageni nchini China wakaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Ramadhan ni mwezi wa Baraka kwa Waislamu wote duniani. Katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Waislamu wanafunga na kusali ili kuomba msamaha kwa Mungu wafutiwe dhambi zao. Kawaida kila mwislamu duniani anajiandaa mapema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Waislamu wa China nao...
  16. JanguKamaJangu

    Kanuni za Bunge baadhi zatenguliwa kutokana na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KUPISHA MFUNGO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi mwisho wa mfungo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, George Simbachawene amewasilisha hoja hiyo...
  17. Mohamed Said

    Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Miaka yote

    Nawatakeni radhi wasomaji wangu kwa kuandika kwa Kiingereza na Kiswahili: RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS ''Leo Chungu Tatu Ramadhan 1436 Dhuhr imenikuta Ubungo/Mandela. Takbir za sala nazisikia zikirindima kutoka vipaza sauti lakini msikiti wenyewe siuoni. Nikauliza na...
  18. Idugunde

    Dodoma: Rais Samia awatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Atawatunukia Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma. Matangazo yataanza saa nane kamili mchana leo tarehe 17 Aprili 2021. ==== Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  19. K

    Rais kuitwa mtukufu na kuabudiwa hadharani bila kukemea inaashiria nini?

    Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu. Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini. Nilijua Rais atakapoamka kutoa...
Back
Top Bottom