Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe
"Lakini Rais Samia alinituma nipeleke sadaka yake Kwa Mtume Mwamposa na kuniagiza nimwambie aendelee kubakia hapo Kawe na kuwaponya Watanzania, hivyo tuzidi kumuombea Ili asije kutokea Rais...