Dunia ina mambo na vijimambo
Katika miaka ya 1880+ pale nchini Afrika-Kusini alikwepo bwana mmoja maarufu kwa jina la "Jumper" akihudumu kwenye kampuni ya Reli akiwa kama "SingnalMan".Bwana huyu aliitwa "Mr. Jumper" kwa uwezo wake mkubwa aliokuwa nao wa kuweza kuruka miruko ya hatari kutoka...