Heshima kwenu Wakuu,
Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.
Huyo jamaa siku ya kwanza...
Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa.
Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za...
Takriban video 400 za ngono zinazomhusisha Baltasar Ebang Engonga, mtumishi wa serikali ya Equatorial Guinea, zimevuja kwenye mitandao ya kijamii.
Video hizo zinamhusisha na wake wa viongozi wakubwa, mke wa kaka yake, binamu, mjomba wake, na wafanyakazi wenzake, na zilipatikana wakati wa...
Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Sehemu ya Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa, Mhandisi Mashaka Sitta baada ya Mhandisi Sitta kutotimiza vema majukumu yake katika eneo hili muhimu la uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa na usimamizi wa mitambo na...
Habari wakuu,
Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi.
Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili?
Miaka 39 kazini Serikalini.
Mafao hayazidi 10Million
Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7)
Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K
Asante
Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
Habari,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.
Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka...
Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Habari za masiku wanajukwaa.
Nina rafiki yangu amepokea barua ya uhamisho kwenda kituo kingine ndani ya halmashauri umbali wa kilomita 90+
Katika kufatilia stahiki za uhamisho ameambiwa aandike barua ya kuomba malipo. Bahati mbaya ni uhamisho wake wa Kwanza hivyo hawafamu ni vitu gani na...
Habari za majukumu wana JF bila kuzunguka zunguka naomba kufahamishwa endapo kuna uwezekano wa mtumishi wa serikali kubadili jina moja katika majina yake matatu na yakaweza kubadilika hadi katika salary slip zake
Mfano:
mtumishi anaitwa Chipindi Justine Makoloka
Anataka kubadili na aitwe Frank...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.