Wakuu
Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mahida Waziri Amekabidhi zawadi ya Mitungi ya Gas kwa kutoka kampuni ya Taifa Gas na Kiwanja kwa washindi wa shindano la Kupika Pilau la Mama Samia Ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono Kampeni ya Mama Samia ya Kumtua mama mzigo wa kuni...
Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia.
Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji!
Whatsapp/piga 0784355775 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia.
Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji!
Whatsapp/piga 0685308583 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
Oven la kisasa lenye jiko la gas na mtungi wa gas orxy vinauzwa kwa haraka mno .... pesa ya haraka inahitajika.. Dukani hilo jiko ni 560,000/= cc tunauza 380,000 tu
- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.
* Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia 1,500°C hadi 1,700°C
* Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa...
Mwanamke mmoja mjini Stockholm nchini Sweden amevuruga shughuli batili ya kuichoma Quran iliyokuwa ikifanyika mjini humo.
Kitendo hicho kilikuwa kikifanywa na Salwan Momika mkimbizi kutoka Iraq ambaye amekuwa akipewa vibali vya kuchoma Qur'an kama anavyopenda.
Momika anasema anataka azuie watu...
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000. Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.
Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.