Jamaa poa sana ni mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apate kupendwa na watu wasimtenge, lakini je ni sahihi kwa mwanaume kuwa "mtu poa sana"?
Leo acha nikupe kisa cha 'JJ' jamaa poa sana na mke wake 'HH'
JJ alitoa kipande cha karatasi mfukoni mwake na akaanza kukifungua...