Habari wana jamvi
Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga
Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
"Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe.
Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆
Na ni mwanamke"
Kwa sasa ukikosea muamala jiandae kisaikorojia, watu hawana muda na hawaogopi chochote, hii nchi imechangamka kwa sasa. 🤣🙌
Habari zenu wadau.
Nilikuwa nataka kumtumia mtu hela kupitia NMB MOBILE APP.Bahati mbaya nimekosea namba yake ya mwisho ya account na hela imeenda kwa mtu mwingine (nilikuwa busy sikuzingatia sana jina la Acc).Nimeangalia vipengele kwenye NMB MOBILE APP sijaona option ya kurudisha muamala...
Wakuu kuna mahali nadai senti zangu sasa asubuhi nilitaarifiwa kwamba wametuma muamala kutoka akaunti yao ya CRDB kuja akaunti yangu ya NBC. Nimepita mchana kwa wakala pesa haijaingia. Nikapiga customer care NBC wakasema muamala haujawasili. Namuuliza mdada wa customer care kwa kawaida...
Jana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.
Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi...
Ni kitendo cha aibu sana kama nchi tunajisifu kwa usalama wa mtandao lakini bado watumiaji wengi wa huduma za kifedha kidijitali wanapoteza mabilioni ya fedha eeti kwa sababu mpokeaji aliyepokea pesa kimakosa amekwisha kutoa pesa hizo katika akaunti yake.
Serikali kupitia waziri wa habari...
Wakuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi.
Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa...
Wakuu, kuna text niliona inasambazwa huko duniani, jinsi wezi wanavoweza kuhamisha pesa kutoka kutoka Mpesa, TiGO pesa, na walet nyingine.
Ukiibiwa simu ukiwa hauitumii ndani ya muda huo (yaani iko locked) utakuwa na muda kidogo kabla kaka jambazi hajafanya lake.
Ukiibiwa simu ikiwa unaitumia...
Habari za jioni wana JF..
Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.?
Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
Wakuu, hivi kisheria hii imekaaje!? Kuna uwezekano wa kuwafungulia shauri mahakanani hawa watoa Huduma kama Vodacom Tanzania kwa tatizo la kuchelewesha muamala wangu wa MUHIMU!?
Haya makampuni yamekuwa yakifanya kazi kwa mazoea sana... na kufanya wanachojisikia...
Hivi hakuna sheria ya wajibu...
Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Napenda kuwataarifu kuwa Tozo zilizofutwa ni Kwa miamala ya kutuma pesa pekee
Mfano umeweka pesa kwa Wakala na umahitaji kufanya transfer kwa nature ya maumala huo Hauna Tozo
Ila ukienda Kwa Wakala au Benki kutoa pesa utakatwa Tozo
Mfano nimeambatisha makato ya mtu anaetoa 70k Kwa Wakala...
Wasalaamu wanajukwaaa.
Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala.
Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
Ndo hivyo wadau!
Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya...
Nikiwa nimekaa nakutafakari ni vipi siku itakwenda kwani sikuwa na chochote mfukoni na kama ujuavyo tumbo lenyewe lilitakiwa lipate stahiki zake pasipo kuangalia ni nini unapitia. Wakati bado nipo kwenye tafakuri zito juu ya nani nitampiga mzinga kwa siku hiyo ili mkono uende kinywani na njia ya...
Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe.
Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire.
Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
Kwema wandugu:
kilio changu leo nawapa airtel money Tanzania, kwanini muamala wa mteja unachukua mda mrefu kurudishiwa.
1. Mara mseme mpaka mteja apokee simu muongee nae ndo muweze kurudishwa ina maana kama mteja amefariki muhusika hawezi rudishiwa pesa yake.
2. Tuna omba majibu au ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.