muarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Muarabu katoa hela ndefu sana kwa Yanga

    Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi. Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko. Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
  2. eliakeem

    Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

    Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life. Kwa maana nyingine ni utamaduni jumla wa maisha ya watu. Mambo yafuatayo ndiyo yanayonifanya niamini...
  3. I

    Leo nimeshangaa kujua kuwa mwanzilishi wa Apple ni Mwarabu

    Dunani huwezi kujua kila kitu, leo nimeshangaa kugundua kwamba mwanzilishi wa Kampuni ya Apple yaani Steve Jobs alikuwa Mwarabu wa Syria na baba yake alikuwa anaitwa Abdul Fattah Jandali ila alilelewa na wazazi ambao sio wake ambaye ni Paul jobs na mkewe. Ila cha ajabu alikuwa akipenda sana...
  4. G

    Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  5. G

    Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja. Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira.
  6. Mhaya

    Muarabu wa Tanzania anaiponda sana Marekani, akipewa viza ya Afghanistan hataki kwenda

    Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza. Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa. Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka...
  7. sky soldier

    Kwenye kampuni/ biashara binafsi ni heri ufanye kazi kwa Muhindi, Muarabu, Mchina ama Mbongo mwenzako?

    Kiwango cha malipo chenye afadhali kulingana na mzigo unaopiga Muda wa kupumzika Uvumilivu/ Tolerance wa kufanya makosa Uhuru wa kufanya mambo yako kwa kiasi uwapo kazini Job Security
  8. O

    Afrika ni demu wa mzungu? Mchina na muarabu ebu tubadilike

    HUTAJIFUNZA HILI KATIKA SHULE YOYOTE. ° Eneo la Afrika = 30,37 milioni km2 ° Eneo la China = 9,6 milioni km2 ° Eneo la Marekani = milioni 9,8 km2 ° Eneo la Europa = milioni 10,18 km2 ● Afrika ni kubwa kuliko Ulaya yote, Uchina na Marekani kwa pamoja. ● Lakini kwenye ramani nyingi za dunia...
  9. MK254

    Huyu Mwarabu popote alipo, aagize soda nitalipa, kawasuta sana waarabu na dini yao

    Kaeleza kama ilivyo tena bila chenga, muda umefika waarabu wajiulize maswali mengi sana. Kuna video yake hapa chini. ila kiukweli bado wamepofushwa na maupuzi ya karne za kitambo. Nafikiri wakibadilika na hata waliodandia hiyo dini yao nao watabadilika, ila wakiendelea kujifanya misukule...
  10. Mhaya

    Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

    Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania. Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii...
Back
Top Bottom