Baadhi ya watu wameniuliza kama zile dawa zilinisaidia, kiukweli baada ya matumizi sahihi ya PEP kwa mwezi mzima, nilipima punde tu baada ya kumaliza dawa ilikua mwezi wa 3 mwaka huu..nkawa NEG
nkasubiri mpaka mwezi wa 6 napo nilipima tena ila majibu yakawa NEG na mwezi huu wa 9 pia nmepima...
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.
Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana.
Sasa kuna mtu mmoja...
Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea
Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika...
Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio mazingira hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya nishndwe kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya kuzorota mwili.
Binafsi nina utaratibu wa kupima afya...
Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020.
Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi...
Unyanyapaa ni kitu kibaya sana. Hivyo lazima kuepukwa.
Lakini vipi unapokuwa na mate wako ambae aliugua dalili zote za Uviko na bado anakohoa na kupiga chafya.
Akija kazini mnatakiwa kuishi nae vipi? Maana kilia mtu anaogopa huu ugonjwa.
Kumtenga? Ukimtenga atasema mnafanya unyanyapaa.
Tukumbuke kwamba kwa sasa mziki wa bongo ni kama vile siasa za mpira wa Simba na Yanga,hata ije Azam au Gwambina fc au Namungo bado mashabiki wa hizi timu watakua ni wale wale tu watokanao na Simba au Yanga.
Hii ni sawa kwa Muziki wetu umegawanyika kwa team Kiba vs team Diamond,hata wasanii...
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka kwa member ambao nimebahatika kuonana/kukutana nao.
Naitwa Priscallia (si jina langu halisi) na umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.