mubashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ili TBC wawe mubashara lazima wajue unachokwenda kuongea. Mbowe kapewa ya kuongea na waliolipia TBC

    Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe. Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja...
  2. Leo nimeshuhudia Umahiri, unyenyekevu, na uchapakazi wa Waziri Dr. Dorothy Gwajima Mubashara yaani ana kwa ana

    Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late). Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
  3. AZAM: Pongezi Kwa kutuletea mechi Mubashara Taifa Stars vs Kongo,Wengine waige!

    Jana 10-10-2024 Majira saa tatu usiku hapa DRC Kinshasa, na huko Tanganyika majira ya sa moja usiku sawa na Zanzibar saa moja usiku kulikuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanganyika Stars na DRC. Inonga, Mayele na Kalulu walifana sana na walionyesha ni namna gani wachezaji wa...
  4. Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  5. Pre GE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa. Tusikilize uchambuzi makini.
  6. Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  7. TCRA mmebariki huu Upuuzi wa Viongozi wa Timu za Ndondo Cup Kusifia kufanya Ushirikina Mubashara Redioni Clouds FM?

    "Hela tuliyopata tumeenda kununua Mayai Viza, Kuku Mweusi na Udi na kumpelekea Mganga wetu wa Kienyeji na kwa jinsi tunavyoenda Kuwaroga Watatukoma" Shabiki wa Timu Moja inayoshiriki Michuano iliyosifiwa na inayosapotiwa na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Ndondo Cup' kwa Mikoa...
  8. DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

    DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi. Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
  9. S

    Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

    Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa. Wabunge hao inasemekana...
  10. Mubashara: Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya Petroli kikizinduliwa Rais Mwalimu Julius Nyerere

    Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam. Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
  11. Atiq Ahmed: Aliyekuwa mwanasiasa wa India na kakake wapigwa risasi wakiwa mubashara kwenye Runinga

    Mwanasiasa wa zamani wa India aliyepatikana na hatia ya utekaji nyara ameuawa kwa kupigwa risasi moja kwa moja kwenye TV pamoja na kaka yake. Atiq Ahmed, ambaye alikuwa chini ya usalama wa maafisa wa polisi, alikuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati bunduki ilipotolewa karibu na kichwa...
  12. Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign - Sheria ya Ardhi ni ya Mwaka 1999 na Sio 1995

    Wanabodi Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign, Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani, Wanasheria hawa, ndio waliotufikisha hapa!, jee tuendelee kuvumilia hizi slips of a tongue kwa wanasheria wetu manguli wabobezi na...
  13. T

    AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

    Amani iwe nanyi. Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao. Niipongeze kampuni ya Azam Media katika...
  14. Kesi ya mwanafunzi wa Law School of Tanzania aliyeomba iendeshwe LIVE yapangiwa Majaji

    Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mwanafunzi wa Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania – LST), Alexander Barunguza, ambayo ameiomba mahakama iruhusu mwenendo wake utangazwe mubasahara kwenye vyombo vya habari, imepangiwa jopo la majaji watakaoisikiliza. Akizungumza na Mwananchi...
  15. Watangazaji wa TV wapunguze maneno wanapokuwa katika vipindi mubashara ili wataalam watoe maarifa kwa kina

    Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada, Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina. Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
  16. CHADEMA pelekeni taarifa kwa Spika mubashara, mmeilinda vyema heshima ya chama chenu

    Mimi si mwanachama wa CHADEMA. Ni mwanachama wa CCM tangu miaka ya 80 nilipohitimu Chuo Kikuu. Tangu kumaliza utumishi wangu ndani ya Serikali na chama, nimebakia kuwa mwanachama mtiifu wa chama changu-nikishirikishwa mipango mbalimbali ya kichama na kiserikali katika kushauri na kuitekeleza...
  17. J

    Waziri Makamba aelezea mafanikio ya mwaka mmoja wa rais Samia katika sekta ya Nishati

    MUDA HUU Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani. Kupitia link hapo chini👇🏿
  18. M

    Waziri Nape rudisha na Bunge live umalize kurekebisha makosa yako

    Ulibadilisha Sheria ya Habari na ukafungia Magazeti pamoja na kusitisha matangazo ya Bunge live sasa umeanza kujirekebisha basi malizia na kuturejeshea Bunge letu live. Pia soma Nape: Si uamuzi wa Serikali ya Magufuli Bunge kutoruka live (Jun 12, 2016 ) Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya...
  19. TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Katika kauli za Mawaziri, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye, ametangaza kwamba, Kuanzia tarehe 26 Januari mwaka 2016, TBC1 haitaonesha tena Mikutano ya bunge live kutokana na gharama za kuonesha live kufikia bilioni nne kwa mwaka. Badala yake TBC1 watarekodi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…