muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

    ugonile, Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much Bill Lugano aka...
  2. Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
  3. Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  4. Netanyahu hajaonekana muda mrefu sasa.Tufani la Aqsa limemkumba au amekubali yaishe

    Kwa kadri ya uelewa wangu na ufuatiliaji wa matukio kule Gaza nimegundua kuwa yanayoendelea Gaza ni makubwa lakini yanatendeka kukiwa na upungufu wa mtu muhimu tangu mwanzo wa vita katika eneo hilo vilivyoanza mwezi oktoba mwaka 2023. Mtu huyo ni waziri mkuu wa nchi hiyo hasimu kwa...
  5. Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
  6. R

    MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  7. Mbowe alianza kutekeleza hii kauli ya "If you can't beat them, join them" muda mrefu

    WanaJF, Nafikiri Sisi ndio tumechelewa kulifahamu hili Jambo lakini kumbe ndugu Freeman Aikael Mbowe alishaanza kutekeleza Hilo muda mrefu, kwamba kwa sababu yeye ameshindwa kupambana na CCM kwa zaidi ya miaka 30 sasa yeye akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa basi ameona aungane nao wakati huu...
  8. Acheni kuchimba mashimo na kuyaacha wazi kwa muda mrefu.

    📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
  9. Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  10. Wabunge wa sasa waliodumu bungeni muda mrefu, miaka 20 na kuendelea

    William Lukuvi- Miaka 30 Job Ndugai-Miaka 25 Mussa Zungu-Miaka 20 Ahmed Shabiby-Miaka 20 George Mkuchika-Miaka 20 George Simbachawene-Miaka 20 Luhaga Mpina-Miaka 20 Maida Hamad Abdallah-Miaka 20 Halima Mdee-Miaka 20 Vita Kawawa-Miaka 20 Pindi Chana-Miaka 20
  11. Truth : kwa mwenendo wa siasa za Tz naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu

    Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni. naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs. It's very painful. NB: mimi sio mwa CCM.
  12. Kwanini Ndoa za Wa Afrika Wengi hazidumu?

    Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅 Yes! Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
  13. LIssu alikosea, Mbowe hakuvunja katiba kuwa mwenyeti kwa muda mrefu

    Ni lini Lissu amewahi kupendekeza kuweka ukomo kwenye uongozi wa chama cha chadema akakataliwa? Kwanini anaisema katiba kwenye mkutano wa bayana/hadhara badala ya kutumia vikao vya chama? Kama chadema wanataka chama chao kife, basi wamkumbatie Lissu. Dunia nzima sasa hivi imekumbatia...
  14. M

    Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
  15. G

    Wenye miaka 30+ ni maswali gani hupendi kuulizwa ukikutana na mtu ambae hamjaonana kwa muda mrefu sana

    class mates wa shule ya msingi / secondary marafiki wa utotoni / secondary Majirani n.k Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo Nimefurahi kukuona baada ya miaka mingi, ni majaliwa kufika hadi tulipo Ntakumbushia memories hasa tuliposaidiaana au aliponisaidia...
  16. Kwa muda mrefu nimekuwa nikishirikiana na huyu member mambo ya Siasa za Mashariki ya Mbali sasa basi

    Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China. Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au...
  17. Juma Abdul Mnyamani umecheza mpira muda mrefu lakini hujui kuuchambua,Azam TV mtoeni huyo mtu

    Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
  18. K

    Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  19. M

    DOKEZO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho - Stendi ya Chini takataka zimerundikwa kwa muda mrefu, zimeoza na zitoa harufu kali

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Stendi upande wa chini, zinakopaki Daladala za Kinyerezi na Bajaji za Malamba Mawili, kuna takataka zimerundikwa kwa muda mrefu sasa zinatoa harufu kali sana, mbaya zaidi Wafanyabiashara wanamwaga hapo matunda mabovu, mboga zilizoharibika na aina nyingine za taka na...
  20. LGE2024 Njombe: Wananchi Wanging'ombe zoezi la Upigaji Kura halichukui muda mrefu

    Baadhi ya wananchi wa Igwachanya Halimashauri ya Wanging'ombe, waliojitokeza katika zoezi kupiga kura leo November 27, 2024 ili kuwapata viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka 5. Soma Pia: Yanayojiri kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…