Kuna wateja kadhaa,nishakutana nao wakiuliza juu ya kipindi gani cha mwaka ni kizuri kwa ajili ya wao kuanza ujenzi....
Nitafanya uchambuzi kwa kuzingatia vipindi vinne vya mwaka.
4.MASIKA
March,April na May
Hiki ni kipidni cha mvua kubwa....
Joto huwa la wastani
Kiwango cha Unyevu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.