muda wa kujirekebisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. technically

    Ni muda wa kujirekebisha kabla hamjameza ndoano

    Ndugu watawala wa jamhuri ya muungano wa Tanzania bado muna muda wa kujirekebisha. Msipuuzie kelele za umma mtakuja kulia kilio Cha kusaga meno Walinda nchi uchoka kulinda tawala zisizoeleweka. Watu hawalali wakiwalinda watu wasio na maadili Kwa jinsi mtawala unavyofanya mambo ya hatari...
Back
Top Bottom