Ili kuepuka uchovu unaotokana na kukosa usingizi wa kutosha, ni muhimu kuwa na uwiano mzuri kati ya Matumizi ya Simu na Muda wa Kupumzika. Inashauriwa;
1) Kuweka muda kwenye Mitandao ya Kijamii: Simu na 'App' nyingi huruhusu kuweka ukomo na kukupa taarifa unapofikisha muda
2) Kuwa na Ratiba ya...