muda wa mahusiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cassnzoba

    Je, mahusiano mafupi zaidi kwako yalikuwa ya muda gani?

    Za jioniii wakuuu... Kama swali linavojieleza, wewe uliwahi kudumu katika mahusiano mafupi zaidi kwa muda gani? Kwangu mimi ni siku moja 😂 Kwako je?
Back
Top Bottom