Kwa muda mrefu, shule binafsi za msingi zimekuwa na utaratibu wa kupitiliza muda wa masomo kwa madarasa ya mitihani, kiasi cha kuwafanya watoto wakae darasani kwa saa nyingi kupita uwezo wa kawaida wa binadamu.
Cha kusikitisha, serikali haionekani kujali hali hii.
Ni jambo la kushangaza kuona...
Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani.
Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi na Moja jioni, akiwahi sana ni saa kumi jioni. Hapa mtoto anateseka sana kuanzia njaa plus uchovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.