Nimeangalia mpira wa YANGA vs USM ALGERS nikiwa home SINZA VATICAN hapa.... Sikupata fursa ya kwenda Uwanjani hasa nikijua wazi kupata nafasi itakuwa ngumu + mvua.
Kwa nilivyoungalia mchezo huu kwa kina kabisa. Wachezaji muhimu
AZIZ KI STEPHAN na KENNEDY MUSONDA + MAYELE (Hasa First Half)...