Sikuhizi makanisa yamegeuza muelekeo, hakuna tena maendeleo ya kiroho bali maendeleo ya Parkia, Usharika au kanisa na mahekalu. Mahubiri yamejikita katika michango ya mara ujenzi, ununuzi wa vifaa, kumchangia kiongozi, michango ya lazima kila siku. Nauliza zile sadaka za ujenzi, fungu la kumi...