CRAZY BUFFA FT ZAHARANI.. - MUELIMISHAJI..
Masela wote...!! kaeni chocho...!!
Madawa ya kulevya haina ya faida kwako.. ebu sikiliza Eeeh.. huyu ni muelimishaji Eeeh Eeh..!!!
Verse ..1. ( crazy buffa)
Sasa ndugu zangu Eeeh/haya mambo ya kujiuliza/ haya madawa ya kulevya ni Mwanga au Ngiza/...