Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
Wasalaam,
Wahenga hunena "Kimtokacho mtu kinywani ndicho kiujazacho moyo wake"
kwa maneno yake ya jana kwa mtu mwenye kufanya tafakuri basi ni dhahiri shahiri yale wasemayo watu yana ukweli ndani yake, hata kwa sisi tuliokuwa tunampa benefit of the doubts basi ameprove na kutudhihirishia...
Kwa sasa Utajiri wa nchi na wafanyabiashara wakubwa na wanaotambulika RASMI upo chini ya wasomali, wahindi na waarabu!
Rarely au hakuna kabisa kumkuta Mtanzania amepenya hapa.
Kama Mtanzania akifanikiwa kuwekeza na akafika angle fulani ya kuwa na UTAJIRI RASMI kisha ikitokea amefariki, basi...
Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
Wakuu,
Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu katika eneo lote kitu ambacho kimesababisha kero kubwa kwa washiriki.
Ukienda mbele zaidi haya ndio...
Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima ziingie nyingi.
Manji hakuelewa kuwa wakati wake umefika, angejiweka pembeni haraka na kuiachia timu...
Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amewataka Wananchi wa Pangani kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha nyingi kwa ujenzi wa Miundombinu ya...
In the holy books our almighty has reveal kuwa amemuumba binadamu kutokana na udongo(adamu) na kumtoa mwenza wake katika ubavu wa kushoto uliopinda!je swali kwanini hakuna muendelezo wa huu umbaji?wa kumtoa mwenza pembeni huenda kungepungua maslay queen na madanga wa mchongo.
Kinachoendelea inabidi kifanyike kuanzia ngazi ya mtaa kwa wanajamii, Kinachoendelea inabidi kifanywe na wabunge majimboni kwao kwa kukusanya kero za wananchi,
Kinachoendelea kufanywa na CCM sioni tatizo sababu ni propaganda na kampeni na watanzania wanapenda matukio (kwahio haya maigizo huenda...
Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
Wakuu habari,
Kama mnavyojua Rais Magufuli alileta kitu kilichoitwa Vitambulisho vya Machinga mwaka 2019
Vitambulisho hivi ambavyo vililipiwa 20,000 vilipelekea ushuru ambao machinga walikuwa wakilipa kwa Halmashauri kufutwa, na badala yake wangelipa hiyo 20k kila mwaka.
Sasa ni miaka 3...
Nchi ya Rwanda imekubali kupokea waombaji wa ukimbizi waliongia nchini Uingereza kwa njia zisizo halali.
Watu hao wakifika Uingereza watakuwa wanapelekwa Rwanda wakati maombi yao yakifanyiwa kazi.
Rwanda watapokea fedha kwa ajili ya kazi hiyo.
Matarajio ni kwamba nchi hii itapokea wakimbizi...
Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini.
Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji.
Wasanii Wameonekana kutokua...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko na kasi isiyokawaida ya Kuungua kwa Masoko Nchini hasa Nyakati za Usiku Jambo linalozua Maswali mengi zaidi.
Sio kwamba kama Nchi ndio tumeanza kupata kuyaona Majanga haya kwa Mara ya Kwanza hapana, yamekwisha kutokea huko Nyuma lakini mtindo ndio...
Wanabodi,
Nawasalimia popote mlipo.
Mod's: pia nawasalimia nikiwatakia kazi njema.
Twende kwenye Mada.
Ni takriban wiki moja imepita tangu habari ya kutoweka katika mazingira tata.Kwa vijana watano huko Dar es Salaam.
Tukio hilo liliripotiwa kutokea December 26/2021.
Habari hiyo ilishika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.