Rais Muhammadu Buhari amekiri kushindwa kumaliza hali tete ya usalama Nchini humo, ahadi ambayo alitoa alipochaguliwa mwaka 2015.
Kauli yake imekuja wakati baadhi ya Wananchi wakiandamana kuhusu Usalama Nchini Nigeria. Kundi la Boko Haram limezidisha matukio ya ghasia miezi ya hivi karibuni...