muhas

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) ( Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, in Swahili) is a public university located in Upanga West, Ilala District of Dar es Salaam Region in Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Wanafunzi MUHAS hatufundishwi

    Tunaomba waziri wa sayansi na elimu ya juu na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) mtusaidie tuweze kupata wahadhiri wa kutufundisha masomo ya tiba kwa njia ya vitendo ngazi ya shahada ya kwanza ( occupational therapy) katika chuo kikuu MUHAS. Tangu chuo kifunguliwe hatujaanza kusoma masomo hayo ...
  2. ChoiceVariable

    Prof. Manji wa MUHAS ashinda tuzo ya mhitimu bora wa Harvard University. Rais Samia Ampongeza

    My Take: Ukoo wa kina Manji sio vilaza na Kwa mara nyingine Wahindi wanaonesha jinsi gani ni vipanga kwenye sekta ya Afya na Hesabu. Hongera Prof Karim Manji Kwa kuitangaza Tanzania na Muhimbili University ================ Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Profesa Karim Manji...
  3. R

    Muhas kujiunga na MD kwa diploma wanapewa nafasi ngapi?

    Nakumbuka kuna idadi ya wanafunzi waliotengewa nafasi za MD kwa diploma qualification. Huwa ni nafasi ngapi?
  4. H

    Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

    Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap?? Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
  5. A

    KERO Serikali tunaomba itusaidie wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tuajiriwe

    Serikali tunaomba itusaidie MUHAS! Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina wakufunzi walioajiriwa na wanaotufundisha wanajitolea kutoka Hospitali ya Taifa...
  6. A

    DOKEZO Serikali iajiri Wakufunzi MUHAS, Kitengo cha Sayansi ya Tiba kuna changamoto kubwa

    Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina Wakufunzi walioajiriwa. Wanaotufundisha wanajitolea kutoka...
  7. H

    Nahitaji kusoma MUHAS au UDSM

    Kama uzi unavyosema hapo nimemaliza Diploma ya NURSING AND MIDWIFERY Ufaulu GPA 4.8 Nina malengo ya kusoma MUHAS AU UDSM, nimejaribu kupitia guidebook nimeona kuna course naweza kuapply kupitia course yangu ndugu zangu hvi naweza kupata nafasi pale kwa huo ufaulu Pia naona admision capacity 5...
  8. Jamii Opportunities

    Legal Officer II at MUHAS March, 2024

    Position: Legal Officer II a) Entry Qualifications Holder of Bachelor Degree in Law (L.L.B) from a recognized University or College. Should have completed a one (1) year internship or attended Law School of Tanzania. b) Duties and Responsibilities To handle documents and...
  9. toriyama

    Wanachuo MUHAS wanazimiwa AC na WiFi Ila wakiwemo wasudan zinawashwa

    Hii kali sana kweli ngozi nyeusi ni nyeusi tu.. Rafiki yangu aliepo MUHAS, katika story za hapa na pale akawa ananielezea kuwa licha ya JOTO la Dar hili lote madarasa wanayotumia kusomea na yenye WiFi huwa yanawashwa AC tu ikiwa hawa wanafunzi wageni wa SUDAN wakiwa wanafundishwa .. (ikumbukwe...
  10. Jamii Opportunities

    Clinical Research Coordinator (CRC) at MUHAS December, 2023

    Position: Clinical Research Coordinator (CRC) Location: Based in Dar es Salaam, Tanzania. Contract: A 12-month, renewable. Reporting to: Principal Investigator, MUHAS-ORCI-UCSF Cancer Collaboration This is an opportunity to build experience in implementation science through working with a...
  11. Roving Journalist

    Tsh. Bilioni 6.7 zatengwa kufadhili Wanafunzi 640 kwa 100%, ambaye hatafikisha GPA 3.8 ufadhili unasitishwa

    Mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzisha ufadhili kwa wanafunzi wanaohitimu Kidato cha Sita wenye ufaulu wa juu katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, PGM, CBG, CBA, PMC na CBN) waliopata udahili...
Back
Top Bottom