Kesi yafunguliwa dhidi ya IGP, DPP na ZCO kutaka Mwambe apewe Dhamana au afikishwe Mahakamani. Kusikilizwa Disemba 15
Wakili Hekima Mwasipu amefungua shauri la dharura Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camilius Wambura, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester...