Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Desemba 9 darasani, aachiwa kwa dhamana
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na Polisi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kuhojiwa kabla ya kuachiwa kwa dhamana...