Serikali yawafutia mashtaka watuhumiwa 219 wa kesi ya uhaini wakiwemo Niffer na Mika
Jumla ya watuhumiwa 219 waliokamatwa kufuatia maandamano na vurugu za baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 wameachiwa huru leo nchini kote, baada ya Serikali kupitia ofisi ya DPP kuiarifu mahakama kuwa...