Kesi ya Mange yaahirishwa hadi Januari 28, 2026, Upelelezi haujakamilika
Kesi ya Uhujumu Uchumi Na. 000021172 ya mwaka 2025 inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi imeahirishwa hadi Januari 28, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi...