116 wakamatwa Mwanza kwa kuratibu maandamano
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu 116 wanaodaiwa kuhusika kuratibu maandamano yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, yakitajwa kuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani, huku likisisitiza kuwa maandamano hayo yamekatazwa rasmi...