Nimefika mkoa mmoja hapa kutoka Dar, sasa muhudumu wa basi nimetokea kumuelewa sana maana ni mrembo halafu mzigo mashaallah! Tulivyoshuka stand ya bus mida ya Saa 5 usiku nikajifanya mimi mgeni.
Sina sehemu ya kulala na pesa ya guest sina (japo mfukoni nina laki 1) anisaidie sehemu yoyote...