muhula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

    Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump. Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
  2. Kyambamasimbi

    Je wanafunzi wataanza muhula ujao na walimu idadi ileile Huku idadi ya wanafunzi ikiwa imeongezeka?

    Binafsi najiuliza ufanisi utatoka wapi ikiwa idadi ya walimu ni ileile halafu wanafunzi wameongezeka kwa shule zote za msingi na sekondaril,mfano Kuna shule jirani watoto walidahiliwa kuanzia form one ni 500 je idadi ya walimu waliopo inatosha? Jibu ni hapana nn kifanyike au serikali haijui takwimu?
  3. Mturutumbi255

    Mada Changamshi: Je, Rais Samia Suluhu Hassan Anatakiwa Kugombea Muhula Mmoja tu?

    Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
  4. Msanii

    Polisi ibadilike kabla muhula haujawadia

    Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo. Liache na kujitenga kutumika kisiasa Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda Lisitumike na wenyenazo kuwanyanyasa wasionazo (nazo = pesa) Kuacha kuua raia kwa kisingizio cha kudhibiti...
  5. Msanii

    Pendekezo: Rais akishamaliza muhula wake ndio uwe ukomo wake kwenye utumishi wa umma

    Rais ni madaraka ya juu kabisa kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Sheria ya Wastaafu inampa Rais unafuu mkubwa kuendelea kuhudumiwa na Hazina kwani pamoja na kujengewa makazi na serikali, anaokea mshahara 100% ya rais aliyepo...
  6. W

    SI KWELI Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atangaza kutogombea muhula wa pili uchaguzi Mkuu mwaka 2026

    Licha ya kufanya makubwa kwa muda mfupi ndani ya Mhula wa Kwanza, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ametangaza hataomba muhula wa pili kwenye uchaguzi mkuu wa baadae 2026. Hapa Tanzania hakuna chochote kafanya na bado chawa wanataka aongeze muda mpka 2030! Tamaa na Uroho wa Madaraka. Tazama...
  7. R-K-O

    SI KWELI Katika muhula wa kwanza wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haikuwahi kupokea msaada wa kifedha kutoka kwa nchi yoyote

    Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa kamba ndio maana hata vyuma ilibidi vikazwe. Palikuwa pana ukweli?
  8. BARD AI

    Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

    Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023. Bongo alishutumiwa na Kiongozi wa Upinzani Nchini Gabon, Jean Ping akwa Wizi wa Kura katika Uchaguzi wa...
  9. BARD AI

    Rais Macky Sall asitisha kugombea muhula wa 3 kisa maandamano

    Kwa mujibu wa Wanasiasa wa Upinzani Nchini Senegal, wamesema Kiongozi huyo ameachana na mpango baada ya kuwepo kwa shinikizo la kumpinga pamoja na maandamano yaliyoitishwa Nchini kote. Rais akitoa uamuzi wa kutogombea amesema "Senegal ni bora zaidi ya mimi na ina viongozi wenye uwezo mkubwa...
  10. ChoiceVariable

    Senegal: Wafuasi wa Upinzani Waandamana Kupinga Rais Macky Sall Kugombea Muhula wa Tatu

    Mamia ya wafuasi wa Upinzani wameanza maandamano ya Siku 3 kupinga hatua ya Rais Macky Sall wa Senagal kupanga njama za kubadili Katiba Ili kumuwezesha Kugombea muhula wa 3. Wafuasi hao wengi wakiwa ni wa Kiongozi wa Upinzani Ausmane Sakho aliyeko kolokoloni wameapa kupambana kuhakikisha...
  11. Miss Zomboko

    Democrat yahofia kuangushwa uchaguzi wa kati wa muhula Marekani

    Wamarekani wanapiga kura leo kuwachagua wabunge na maseneta, katika uchaguzi wa katikati mwa muhula wa urais wa Joe Biden. Katika uchaguzi wa leo, viti vyote 435 katika Baraza la Wawakilishi vinapiganiwa, huku kwenye Baraza la seneti, viti vilivyo kwenye kinyang'anyiro hiki vikiwa 35 kati ya...
  12. BARD AI

    Rais wa Afrika ya Kati amfuta kazi Jaji Mkuu aliyekataa kubadili Katiba kuruhusu agombee muhula wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
  13. MANKA MUSA

    Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

    Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba. Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila...
Back
Top Bottom