Wamarekani wanapiga kura leo kuwachagua wabunge na maseneta, katika uchaguzi wa katikati mwa muhula wa urais wa Joe Biden.
Katika uchaguzi wa leo, viti vyote 435 katika Baraza la Wawakilishi vinapiganiwa, huku kwenye Baraza la seneti, viti vilivyo kwenye kinyang'anyiro hiki vikiwa 35 kati ya...