muigizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carbon 4real

    Anashikilia rekodi ya kuwa muigizaji asiyependwa kwenye ulimwengu wa filam...

    Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili alilithibitisha kwenye series ya Game Of Thrones baada kucheza scene ya kuuwa familia yake pamoja...
  2. Charongo

    Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

    Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
  3. Alana Rolmodo

    Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Karibu nikuandikie script nzuri kwaajili ya FILAMU na nyimbo nzuri zinazoweza kuwa hit song. Karibuni sana😘😘😘😘😘😘😘😘 By Alana Mwanafasihi ✨Sanaa ni kazi kama kazi zingine (0759161254) Sample ya script 1.CHUMBANI KWA CHIFU (Open scene) Mke wa Chifu (Mwamini)anaingia chumbani na kumkuta Msichana...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa Korea Kusini hakuna muigizaji Bora wa kiume kama Lee Byung-hun Jamaa anajua Sana. Squad Game ni muendelezo wa uwezo wake

    Mpo salama! Huyu jamaa kwa mara ya Kwanza niliangalia picha yake ya Kwanza Miaka ya 2009/2010 huko katika Series Moja iitwayi IRIS. Hapo ndio mwanzo wa kuzipenda na kuanza kufuatilia baadhi ya Filamu za Kikorea. Nikiri wazi kuwa kabla ya kuangalia Filamu ya IRIS sikuwa mpenzi wa Filamu za...
  5. Muga_Thachamp

    Muigizaji Cherel (Michelle Botes) wa Isidingo afariki dunia

    Michelle Botes, aliyetamba sana kupitia series ya Isidingo the Need miaka ya 2000, amefariki dunia. Michelle Botes, alijulikana kwa kucheza vyema nafasi ya mwanamke muuaji aliyeitwa Cherel De Villiers, na baadaye kuwa Cherel Haines baada ya kuolewa na tajiri Barker Haines, Ambapo katika...
  6. W

    Ni kifo cha Muigizaji 'Movie Character' gani kilikuumiza hadi ukaacha kutazama muendelezo wa Filamu hiyo?

    Series ya Money Heist ilikuwa ya moto sana hadi pale Nairobi na Tokyo walipofariki yaani nilikosa nguvu ya kuendelea kutazama muendelezo wa Tamthilia
  7. GoldDhahabu

    Senior Dave wa Kenya ni mfichua maovu au muigizaji?

    Kama ni uigizaji, atakuwa amevuka mipaka. Ni kuichafua nchi yake na raia wa Kenya kwa ujumla. Lakini kama ni matukio ya kweli, anastahili pongezi. Ni ushushu wa hali ya juu. Katika clips zake za matukio mawili niliyoyaangalia leo, nimeshindwa kuelewa kama ni matukio halisi au ni ya kutungwa...
  8. Pearce

    Kwa Wahenga: Mnaomkumbuka muigizaji Mwanaachia aliigiza na Mzee Majuto na Mzee Small

    Kwa Wahenga wenzangu ambao tulikua miaka 1990s wakati huo kuna ITV na ITV 2, Cheka na CTN kulikuwa na muigizaji wa kwanza hapa Bongo Alikuwa akiigiza Ana kigugumizi na tumbo kubwa na pia kwa miaka hiyo alikuwa akiimba Taarabu Huyu jamaa alifariki mapema akiwa kwenye ubora wake kama...
  9. itakiamo

    TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

    Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea. ======= Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia ya "ZAHANATI YA KIJIJI" wengi walimfahamu kwa jina la BI UBWA amefariki dunia leo...
  10. Mjanja M1

    Huyu ndio muigizaji aliyepata mtoto akiwa na miaka 80

    Mwigizaji na mtayarishaji wa Movies kutokea nchini Marekani, Mzee Robert De Niro amepata mtoto wake mwengine akiwa na miaka 80. Robert De Niro akiwa na umri wa miaka 80 na mtoto wake wa miezi 10 Alipata mtoto wake wa kwanza zaidi ya miaka 46 iliyopita. ✍️ Mjanja M1
  11. MK254

    Mwanamke muigizaji wa filamu za ngono (porn) atalii Iran, akaribishwa kwa mbwembwe

    Tafuteni hela, hizi sheria kali za kidini huwa dhidi ya maskini tu...
  12. Intelligent businessman

    TANZIA Muigizaji Carl Weathers afariki Dunia

    Carl Weathers, ambaye shughuli zake za utafutaji wa ugali zili anzia kwenye mchezo wa nfl Hadi uigizaji. Ana kumbukwa kutokana na uigizaji wake nzuri, kwenye filamu kama Creed, na Predator. Taarifa kutoka kwa familia ina sema ni hali ya kawaida na si tatizo jingine. Rest well legend!
  13. T

    Muigizaji Brad Pitt asherehekea kutimiza miaka 60 na mtoto mbichi wa miaka 33

    Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt. Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects...
  14. Hance Mtanashati

    Mfahamu muigizaji Katrina Kaif

    Katrina Kaif ni mwigizaji na mwanamitindo wa Uingereza na India. Alizaliwa mnamo 16 Julai 1983 (Ana miaka 40 sasa) huko Hong Kong na kukulia Uingereza. Wazazi wake ni mfanyabiashara wa Uingereza mwenye asili ya India, Mohammed Kaif na Suzanne Turquote, muingereza msomi na mwanasheria. Katrina...
  15. Hance Mtanashati

    Mfahamu muigizaji Hrithik Roshan (KRRISH)

    Jina lake kamili anaitwa Hrithik Rakesh Roshan ni mtoto wa pili kuzaliwa na mtayarishaji,muongozaji na muandishi wa filamu Rakesh Roshan (baba) na Pinky Roshan (mama). Hrithik Roshan ni mtoto wa pili kuzaliwa (mziwanda) wa kwanza ni dada yake anaitwa Sunaina Roshan. Hrithik Roshan alizaliwa 10...
  16. mangiTz

    Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  17. Hance Mtanashati

    Mfahamu muigizaji Kajol

    Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India. Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani Mukherjee ,mdogo wao anaitwa Tanisha Mukherjee. Wazazi wao ni Tanuja Samarth(Mama) ambaye pia alikuwa...
  18. Chachu Ombara

    Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

    Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa...
  19. M

    Kutoka kwa muigizaji maarufu John Sins

    KUIGIZA FILAMU ZA NGONO NI KAZI NGUMU SANA Muigizaji maarufu Mr John moja ya interview yake kubwa aliyowahi kufanya na muandishi wa habari wa india aliwahi kusema. " Kuigiza filamu za ngono ni kazi ngumu sana tofauti na watu wanavyozani kuwa ni nyepesi, napokea tons za email kila siku kwa watu...
  20. BARD AI

    "Fezco" Muigizaji wa Tamthilia ya Euphoria afariki dunia akiwa na miaka 25

    Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi. Kupitia tamthilia za Euphoria inayotayarishwa na kampuni ya HBO, alifahamika kama Fezco ‘Fez’ O’Neill ambaye ni Muuza Dawa za...
Back
Top Bottom