Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India.
Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani Mukherjee ,mdogo wao anaitwa Tanisha Mukherjee.
Wazazi wao ni Tanuja Samarth(Mama) ambaye pia alikuwa...