muimbaji

  1. Akilihuru

    Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
  2. Alana Rolmodo

    Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Karibu nikuandikie script nzuri kwaajili ya FILAMU na nyimbo nzuri zinazoweza kuwa hit song. Karibuni sana😘😘😘😘😘😘😘😘 By Alana Mwanafasihi ✨Sanaa ni kazi kama kazi zingine (0759161254) Sample ya script 1.CHUMBANI KWA CHIFU (Open scene) Mke wa Chifu (Mwamini)anaingia chumbani na kumkuta Msichana...
  3. A

    Je, Naweza Kuwa Muimbaji Mzuri Wa GOSPEL Nikiwa Na Usikivu Hafifu !?

    Habari Ndugu Zangu, Kwanza Nianze Kwa Kuwashukuru Wote Mlionipatia Ushauri Wakati Napitia Hali Ngumu, Hakika Jamii Forums Kuna Watu Wema Sana. MUNGU Awabariki 🙏 Uamuzi Niliouchukua Ni Kwenda Chuo, Hivyo kwasasa Nasoma Diploma in Primary Education Katika Mtaala Mpya huu wa Elimu Na Inshallah...
  4. mdukuzi

    ''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

    Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani. Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam. Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu. Marehemu alikuwa...
  5. F

    Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

    Habari wadau, Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023. Kijana huyo ameongoza kwa kupata First Class GPA ( 4.8) ambayo ni ya juu kuliko wanafunzi wote UDSM. Amesoma...
  6. Nyuki Mdogo

    Tutafika mbinguni tumechoka sana. Huyu nae ni muimbaji wa Gospel huko Kenya

    Anaitwa Nica the queen Dhambi mpya zimeanza baada ya Bwana Yesu kusulubiwa msalabani
  7. Dr Restart

    TANZIA Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Kimasai, Ole Pakuo afariki dunia.

    Kwa masikitiko makubwa, muimbaji maarufu na mkongwe wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kimaasai, Ole Pakuo amefariki dunia. Ole Pakuo amefariki dunia leo mchana wa Tar 28-01-2022 katika hospital ya Rufaa ya kaunti ya Kajiado nchini Kenya. Alifikishwa hapo baada ya kuugua kwa muda mfupi na baadae...
  8. H

    Muimbaji Queen haizel atishia kukata sehemu zake za siri

    Wiki hii baadhi ya watu maarufu kutoka Ghana wametrend Sana kutokana na kauli zao ukiachana na kauli ya mchungaji Nigel Gaisie aliyedai atamfufua Kobe Bryant kama atapata 10% ya Mali zake. Mwanamziki mrembo Queen haizel amefunguka hiv karibuni wakati akifanyiwa interview na Moja ya redio...
  9. sajorsergiosjanic

    Nafasi mbili kwa wasanii waimbaji (singers).

    Tunahitaji wasanii wawili wenye vipaji vya uimbaji, waweze kufanya projects 4 kila mmoja. Projects hizo zitasimamiwa na sisi wenyewe kwa utayarishaji na usambazaji. Utayarishaji wa muziki utafanywa na sisi, muimbaji atakuwa na jukumu la kiuandishi kwa kushirikiana na sisi. Je atanufaikaje...
Back
Top Bottom