muislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jifunze kutofautisha Mpagani na Mtu asiye na Imani: Ewe Mkristo, Ewe Muislamu hawa Watu tunaishi nao, wengine wana sifa za utakatifu zaidi yetu

    Katika mijadala mingi kuhusu dini na imani, kuna mkanganyiko mkubwa kati ya neno mpagani na mtu asiyeamini kabisa uwepo wa Mungu (atheist). Nimetumia neno wapagani kwenye kichwa cha habari ili kuvuta usikivu wako, lakini lengo la makala hii ni kufafanua tofauti kati ya makundi haya mawili na...
  2. K

    Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

    hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa. Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli. Pia soma - Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
  3. Kinachoendelea katika Uchaguzi BAVICHA Taifa

    https://www.youtube.com/live/alKQnvp2Ei8?si=6igthwmbdWuJGUXI Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu. Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam sehemu ambapo mkutano mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA Taifa unaendelea hivi ndivyo hali inavyoonekana nje ya ukumbi...
  4. Dr. Zakir Naik: Huwezi kuwa muislamu kama huamini katika Yesu Kristu, aeleza pale Wakristo na Waislamu wanapotofautiana

    Dr. Zakir Naik, anasema kwamba hauwezi ukawa musilamu kama haumuani Yesu Kristu. Waislamu na Wakristu wanafanana katika mengi lakini utofauti ni pale wanapoamini kuwa Yesu Kristu ni Mungu ... Anachosema ni kuwa ukisoma biblia hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa Yesu Kristu alisema yeye ni Mungu...
  5. M

    Muislamu anaekesha mwaka mpya kumbi za starehe ili iwe nini?

    Mwaka mpya, iwe wa Hijria au wa kawaida (Gregorian), ni fursa muhimu kwa Muislamu kujitathmini, kufanya maamuzi mapya, na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Quran na Hadithi zinatoa miongozo ya kimaadili na kiroho ambayo inaweza kumsaidia Muislamu kutumia kipindi hiki kwa mazingatio...
  6. Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

    Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu...
  7. Familia ya kiarabu na wakristo wameniambia niache kutembea na mtoto wao eti kisa nimi ni muislamu nikiendelea watanifunga jela

    Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa ambao ni dini ya kikristo wameniambia niache kutembea na binti yao eti kisa mie ni muislamu na sina...
  8. Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

    Tukisema ni ubaguzi nitakuwa nimekosea? Kuna kasumba huku mkoa ninao ishi kuna ubaguzi ambao ndugu zangu wa upande wa pili yaani wakristo wanaufanya siandiki kwa ubaya wala ugomvi na mtu fulani kusema ukweli wakristo wa huku au sijui kote wapo hivyo wana ubaguzi sana iweje mimi nialikwe kwenye...
  9. U

    Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

    Wadau hamjamboni nyote? Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him." Je...
  10. G

    Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  11. U

    Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  12. U

    Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
  13. Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama itakayotumika ni Muislamu. Lakini itakuwaje ikiwa wewe si Muislamu na ukatembelewa ghafla na rafiki...
  14. Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  15. D

    Kuna Muislamu anaendelea kuwafata Bakwata kwa chochote?

    Hii clip ni fikirishi sana, Mufti alipewa amri kutoka Juu atangaze muandamo wa mwezi ambao haupo.
  16. Natafuta mchumba wa kike muislamu

    Awe muislamu Umri 20-30 Hajawahi kuolewa kama ana mtoto asizidi mmoja kabila lolote lile. Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea. Sifa zangu Umri 33 Mtumishi serikalini Sijawahi kuoa Mengine mengi tutajuzana PM ALIYE INTERESTED ANICHEK PM,tukimatch tufunge Ndoa before mwezi wa sita mwaka huu...
  17. Rejesho:kubadili dini niwe muislamu

    Wapendwa wa jf mambo zenu , Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake . Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam...
  18. Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    1. Lord's Resistance Army (LRA): Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, mauaji, na kuwatumia watoto kama wapiganaji. LRA limekuwa likiendesha harakati zake katika maeneo ya...
  19. Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

    Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi" Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank) hatimaye siku ya leo amebadili dini na kuwa Muislamu. Hakika ni habari njema sana kwa kuamua kuifata dini...
  20. Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

    Kwenda macca kwa jambo la kiimani ni ishara kubwa sana kwa muislamu yoyote yule, na lazima tabia zake pia ziakisi heshma ya Macca na uislamu. Haji Manara alikuwa mwalimu wa madrasa, na amepiga sana madufu na ngoma za daku usiku kucha. Lakini tangu atoke Macca amekuwa mtu wa hovyo sana, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…