Ingawa hili ni tatizo la kitaifa, lakini Idara ya maji mbeya ni tatizo kubwa.
Wanatesa sana walipaji bili wazuri. Huwa wanapandisha bili taratibu hadi wanafikia sehemu ambayo wanaona wao ndio stable na ajabu wenye malalamimo matumizi ya nyumbani huwa ni yaleyale, lakini bill zinabadirika. Kila...
Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
Kumekuwapo na unyanyasaji mkubwa na usumbufu unaofanywa na askari pamoja na mgambo eneo la Tegeta kwa ndevu barabara ya bagamoyo.
Askari hawa huvamia bodaboda kwa nguvu na kuchomoa funguo ukiwa katikati ya barabara suala linaloweza sababisha ajali.
Wakishakukamata kipaumbele chao cha kwanza...
Mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa unasimamiwa na Simon Maigwa akiwa ndo Kamanda wa Polisi wa Mkoa. Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa na tabia kwa baadhi ya Wafanyabiashara na watu maarufu pindi anapoingia RPC mpya kufika ofisini kwake na kuanza kutengeneza mazingira ya mahusiano naye kwa kutoa rushwa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.