Hivi, hao jamaa ni binadamu kama sisi au?
Licha ya kwamba kwa ujumla wetu sisi ni makondoo, ila nawaambia hata katika makondoo huwa wapo walio dakika tano mbele.
Hao wanaoongoza kuteka na kutesa watu kuna uwezekano mkubwa sana wakaishia kufa vifo vibaya sana.
Wao siyo miamba. Wao siyo vyuma...