Kama mnakumbuka vyema, Novemba ya mwaka jana niliwaletea hapa taarifa kuhusiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo, Barbara Kambogi kusimamishwa kazi kwa tuhuma zilizowasilishwa makao makuu ya DSTV Afrika ya Kusini na mtayarishaji wa tamthilia za Kiswahili Bwana Isike Samwel...