mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mke sio ndugu yako, siku ukifa, kwenda jela hata ndoa ikivunjika anaweza kupata mume mwengine lakini wanao na ndugu hawawezi kukubadili

    Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ? KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
  2. T

    Mwanangu usitembee na mume wa mtu

    MWANANGU USITEMBEE NA MUME WA MTU .. Binti mmoja alikua anatembea na mume wa mtu, alikua akifanya kwa siri lakini Mama yake alijua, baada ya kuona vile Mama yake alimkalisha chini na kumuuliza kwanini anafanya vile? Binti hakua na jibu la maana lakini alimuambia Mama yake yeye anamheshimu mke...
  3. F

    Mke au Mume ni ufunguo wa maisha

    Mke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe
  4. D

    Natafuta mumeo wa kunioa

    Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge
  5. Hypersonic WMD

    Marioo anajisikiaje 'mkewe' kushikana hivi na Juma Lokole kama mke na mume?

    Mbaya zaidi kashona had sale na Lokole
  6. Yoda

    Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

    Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea. Maisha...
  7. S

    Namuonea huruma mume wake

    Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana...
  8. GENTAMYCINE

    Kusubiria matokeo ya Mechi ya Mume Mtemi na Hawara Mlaini wakati unajua Hawara Mlaini atagawa tu Uroda ni kupoteza muda

    Kila la Kheri wale ambao Jumatano hii wana Jukumu la Kitaifa na kuanzia Wiki mbili zijazo watakuwa na Jukumu la Nje.
  9. Mshangazi dot com

    JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

    Nimeshirikishwa mkasa wa binti mdogo wa miaka 23 ambaye ameingia kwenye ndoa wiki kadhaa zilizopita. Baada ya ndoa, mumewe ameanza kumuomba wafanye mapenzi kinyume na maumbile, jambo ambalo hakuwahi kufanya hapo kabla. Ilipotokea siku ya kwanza hakusema moja kwa moja, ila katikati ya kushiriki...
  10. Braza Kede

    Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni kufokewa kweli?🤔

    Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli? Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia. Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea...
  11. Tlaatlaah

    Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

    Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli? hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we...
  12. D

    Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

    Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe. Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway...
  13. O

    Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

    Mume wangu ananipa Laki 5 k Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na kuhudumia wadogo zangu. Yaani, hata ada za wadogo zangu alikuwa akilipa. Nyumbani kila mtu alifahamu...
  14. Messier 31

    Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

    Bro, chukua hii. Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo...
  15. Beira Boy

    Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

    Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa --- Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume...
  16. S

    Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  17. S

    CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika. Lakini pale ambapo...
  18. Colonialism

    Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

    Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa. Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa...
  19. The Watchman

    Ruvuma: Mume na Mke mbaroni kwa tuhuma za kuiba mtoto wa miezi 11

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia mume na mke, wakazi wa mtaa wa Mji Mwema manispaa ya Songea kwa tuhuma za kuiba mtoto mwenye umri wa miezi 11 (jina limehifadhiwa). Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chillya amesema tukio hilo limetokea Novemba 4, 2024...
  20. Mkalukungone mwamba

    Geita: Mwanamke auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake

    Mapenzi na migogoro ya ndoa imeendelea kuleta shida na hata kutoa roho za watu kila kukicha jamaani! ================== Mwanamke mmoja mkazi wa kata ya Ludete wilayani Geita, Adventina Nicolaus (37) amefariki baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake, huku tukio hilo likihusishwa...
Back
Top Bottom