Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ametoa onyo kwa mtu yeyote atakayeleta vurugu ili kukwamisha zoezi la uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unaoendelea kufanyika Mkoani humo na nchi nzima kwa ujumla.
Akizungumza na waandishi wa habari RC Malima amesema kuwa vyombo vya ulinzi...