mume wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, maswali mengi yanajitokeza kuhusu mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, maswali mengi yanajitokeza kuhusu mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir. Katika kipindi hiki, ni muhimu kujua kama Hafidh atajitokeza hadharani kumsaidia mkewe katika kampeni au kama ataendelea kukaa kimya Wala kutokuonekana kwenye jamii na...
  2. Kinyungu

    Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

    Wote poleni kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu aliyeipenda nchi yetu kwa dhati kabisa Mh. Rais John Magufuli. Kufuatia msiba huu mzito nchi yetu inaenda kupata Rais Mwanamama Mh. Samia Hassan Suluhu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu na vivyo hivyo nchi itapata First Gentleman...
  3. Shark

    Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

    Wakuu Kwema? Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa. Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu ya Mumewe? Je, naye atakuwa anaandamana na Mkewe (Rais) kila anapoenda? Mwenye kufahamu hili...
  4. Infantry Soldier

    Nchi ya Singapore na suala la heshima kwa mume wa Rais (First Gentleman)

    Good afternoon JamiiForums Picha rasmi ya Rais ni lazima iwekwe upande wa kushoto na picha ya mumewe upande wa kulia. Picha zote mbili zinapaswa kutengenezwa na kutundikwa sambamba (pair) na kwa urefu unaolingana katika ofisi za umma na binafsi. Ikiwa nembo ya taifa inapaswa kuwepo ofisini...
Back
Top Bottom