Wakuu Kwema?
Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa.
Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu ya Mumewe?
Je, naye atakuwa anaandamana na Mkewe (Rais) kila anapoenda?
Mwenye kufahamu hili...