Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la.
Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana...