mume wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    Chumba chako ni chako na mume wako tu

    Chumba chako ni chako na mume wako tu. Haipendezi chumba cha wanandoa kuingiwa kiholela na watu ambao washavunja ungo iwe mschana wa kazi, wakwe, mawifi, mashemeji, majirani au yeyote yule. Chumba chako kikikosa staha na ndoa yako pia itakosa kuheshimiwa. Unapolala na mumeo hapafai kuonekana...
  2. realMamy

    Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

    Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri. Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo. Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika. Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee. Sasa Je...
  3. Jaji Mfawidhi

    Mambo 5 mwanamke hapaswi kumwambia mume wako! Never!

    MAMBO HAYA USIMWAMBIE MWANAUE WAKO, HATA KWA KISU SHINGONI:- Mwanaume aliyekutoa Bikra [aliyeku'bikiri], hapa hata kama wewe ni malaika utamu-umiza sana mwanaume, hatokaa asahau, ataumi sana, akikuuliza mpige chenga! Usimwambie kama uliwahi kufikishwa kileleni ama la, kuwa mjinga wa mapenzi...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Umuhimu wa kumuombea mume wako

    Umuhimu wa kumuombea mume wako Kumuombea mume wako ni muhimu kwasababu unapomuombea mumeo ni kama unajombea wewe. Mafanikio ya mume wako ni ya kwako pia Unapomuombea mumeo inaongeza na kukuza upendo wako kwake Inakuamsha kwenye upendo mkuu zaidi wa Mungu aliokuunganisha na ndoa yako...
  5. Engager

    Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja. Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi...
  6. Mohammed wa 5

    Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

    Hope ni wazima Wana Jf Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa. Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
  7. M2WAWA2

    Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani kuna mawili

    Miriam Lukindo Mauki anaandika; Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili; 1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani malalamiko. Mwanamke asiye na kushukuru au asiyeona kitu anachokifanya mpenzi wake. Ni mwanamke mwenye...
  8. Jokajeusi

    Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

    Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
  9. Unique Flower

    Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

    Hivi ukijajua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje? Naomba ushauri positive not negative.
  10. Jaji Mfawidhi

    Unaweza mwambia mume wako idadi ya wanaume ulio-jamiiana nao awali kabla ya yeye kukuoa?

    Mazoea ni kwamba, Ndoa za siku hizi zinavunjika mara tu baada ya kufungwa maana wanawake hawasemi idadi ya wanaume walio-fanyana nao ili mume mpya ajue reli anayopitia. Ni muhimu mwanamke kumwambia mwanaume idadi ya wanaume alio tembea nao ili mume mpya aongeze juhudi kitandani, maana kila...
  11. M

    IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  12. Ruyama

    Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

    Hivi mwanamke unakuwa mjeuri unamjibu mumeo utakavyo. Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone na sio comfort zone.
Back
Top Bottom