mungu anatosha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samson Ernest

    Tunaweza kutenda mambo makubwa tofauti na watu wanavyotujua

    Zab 108:13 SUV [13] Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu. Mtu akikuangalia ulivyo, ulipozaliwa, kazi yako, biashara yako, elimu yako, maisha yako, anaweza asiamini juu yako unaweza kufanya mambo makubwa katika maisha yako. Jamii zetu zinatuona hivyo, familia...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Mungu muumba mbingu na nchi. Nyie ambao mnamtukuza sana Rais Samia jiangalieni

    Hii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia. Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia. Uzi huu ni kwaajili ya onyo . Nyie mnaomsifia Rais Samia kwa malengo yenu binafsi either kutaka cheo, pesa au ulinzi wa shughuli zenu...
  3. sinza pazuri

    Pole Freeman Mbowe! Umedhalilishwa sana ila Mungu atakulipia

    Nakumbuka kwenye interview moja ulisema "nikimuangalia Lissu nabaki najiuliza ndio huyu huyu?" Mbowe umedhalilishwa sana. Umefukuzwa kwenye nafasi yako kwa ghirba na hila. Umeitwa mlamba asali. Umeitwa mla rushwa. Umeitwa pandikizi la CCM. Umeitwa Mugabe. Umeitwa Nkrunzinza. Tumeambiwa...
  4. D

    Jinsi nilivyokutana na huyu mchumba, nimeamini Mungu ana njia nyingi na za ajabu sana za kukutanisha pair alizozipanga!

    Nilikutana na rafiki niliyesoma nae msingi miaka mingi mno iliyopita akiwa kwenye gari stendi tayari kwa safari.....nami nilikuwa nafika hapo kwa ajili ya usafiri wa kwenda sehemu. Tukiwa na hamu ya kuongea mengi lakini tukiachwa na muda kwani gari yao ilianza kuondoka; ikabidi anitajie namba...
  5. Poppy Hatonn

    Mungu anatosha

    Watu wanataka hela, wanataka gari, wanataka nyumba, wanataka kuwa milionea. Lakini Mungu tu anatosha. Ukimpata Mungu umepata kila kitu. Vita kubwa wanapigana Kongo kugombea changarawe na kokoto zinazochimbwa ardhini. Watu wanajali fedha kuliko utu. Ndugu wanagombana kwa ajili ya mali...
  6. Humble African

    Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

    Good day, Good people! Hivi Karibuni kumezuka mfululizo wa nyuzi kibao hapa JF na zote zikipinga uwepo, uweza, na utendaji kazi wa Mungu. Kiukweli zimenifanya nikazama ndani kufikiri kwa kina zaidi juu ya uwezo wa Mungu na nimepata haya ya kuzungumza na kushare na nyinyi kidogo, ila ningependa...
Back
Top Bottom