mungu yupo

Mapenzi Ya Mungu (God's Love) is a 2014 Tanzanian drama film produced by Elizabeth Michael and directed by Alex Wasponga. It stars Elizabeth Michael, Linah Sanga, and Florah Mtegoha.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Mungu yupo wapi?

    MUNGU YUKO WAPI? Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia: 1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
  2. hmaloh

    Mungu yupo jamani natena anatenda na kujibu maombi

    Asalaam aleykum wana jf wengine itifaki imezingatiwa,leo nimeamua kuja na hii mada yakuwa Mungu yupo na anafanya kazi katika Kila sekunde ya saa kama hauamini basi nikwasababu tu umekataa kuamini kuwa yeye yupo na anatenda (God is almighty) pia haangalii dini wala dhehebu ila Imani yako thabiti...
  3. S

    Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

    Habari zenu Wanajamiiforums. Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa. Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana...
  4. S

    JE, KWELI MUNGU YUPO?

    Kama kweli Mungu yupo basi yeye ni katili sana na sifa ya kuwa ana UPENDO haimfai. Ni hayo tu, AM DONE.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo ambayo ukifanya watu hawatasita kukuua. Bila kujali Sheria zipo au hazipo, Mungu yupo au hayupo

    NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh! Kuua ni Kwa nchi zisizoendelea! Ndugu zangu usije ukajidanganya Wala kudanganywa. Wala usije...
  6. Scars

    Je, kweli ni bora kuamini Mungu yupo halafu siku ya mwisho usimkute, kuliko kutoamini halafu ukamkuta?

    Makala hii nitaiweka kwa vipande kuepusha kero ya usomaji. Moja ya hoja maarufu kutoka kwa watu wanaoamini Mungu (Theists). Ni hoja ambayo imelenga kuweka matumaini ya mwelekeo katika maisha ili kuwafanya watu waone kuamini Mungu yupo ndio uchaguzi bora zaidi (rational) kwasababu haitakupa...
  7. February Makamba

    Mungu yupo kwa ajili yako. Amka!

    Sasa, wakuu, hebu leo naomba tuzungumzie ksidogo kuhusu dini. Regardless ya definition yako ya Mungu au uchaguzi wako wa Mungu yupi wa ukweli, au hata kama huamini Mungu yupo. Bado haipingi uwepo wa dini Dunuani. Dini zinaexist na kila kinachoexist, regardless ni kizuri au kibaya (kwasababu...
  8. kwisha

    Kama kweli Mungu yupo kwanini ameruhusu wanadamu kuteseka?

    Hoja Za Mungu ni ngumu kuelewa ila pia ni nyepesi kuelewa ukitumia akili vizuri sana Let me go straight to the topic Kwanini Mungu ameruhusu wanadamu kuteseka? Ukweli ni kwamba Mungu Hajaruhusu mwanadamu kuteseka ila mwanadamu anajitesa mwenyewe Katika maandiko ya Biblia inasema Mungu...
  9. B

    Huyu Mtumishi wa Mungu Dickson Cornel Kabigumila ameniamsha imani Upya, kweli Mungu yupo

    Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili. Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu...
  10. Brojust

    Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  11. David King 51

    Hivi kweli Mungu yupo?

    H.
  12. Judah Tribe

    Kwanini Kiranga ni mbishi kuhusu uwepo wa Mungu wakati min-me kwa sasa anakubali kuwa Mungu yupo?

    Nipo huku kijijini matolwa nawitwa Judah Kama kichwa kisemavyo Kuna mtu humu alikuwa ni mbishi sana kuhusu uwepo wa Mungu kuliko wote ambae ni min -me maana huyu alikuwa mbishi sana kuliko hata huyu Kiranga lakini baada ya kuelimishwa na kuthibitishiwa na walokole humu kuwa Mungu yupo Kawa...
  13. D

    We amini Mungu yupo tu inatosha. Ona yule kiboko ya wachawi anavyowacheka watanzania kuwa ni mazezeta

    Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu. Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
  14. D

    Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

    Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
  15. U

    Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

    Wadau hamjamboni nyote? Nauliza nipate elimu Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa? Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
  16. covid 19

    Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  17. Yesu Anakuja

    Ukikosa tubu, Mungu yupo tayari kukusamehe!

    REHEMA ZA MUNGU NI KUU KULIKO DHAMBI ZETU. Mungu atakusamehe dhambi zako, atazitupa kwenye kilindi cha bahari, atazifuta kabisa, utakuwa kama hujawahi kutenda dhambi, utakuwa safi. hata mtu akikukumbusha dhambi yako mwambie, Mungu alishaifuta, na kitu kikifutwa ni kwamba hakipo, ni sawa na...
  18. Suhendra

    Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi. Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu. Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk. Ni ingie kwenye point. Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake. Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua...
  19. Lidafo

    Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Katika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo. Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah! Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua...
  20. The Supreme Conqueror

    Mama Samia Mungu yu Pamoja nawe adui yako unaye ndani kwako piga kazi

    Angalizo Mods naomba huu uzi usiunganishwe na uzi mwingine tafadhali. Juzi walikusifia Jana walikuchoka Leo wanakuzomea kesho watakufukuza lakini hao hao kesho kutwa watarudi tena kwako hivyo wazoee endelea kupiga kazi. Walianza wanaojiita wanaojiita wanaharakati kupinga baadhi ya vipengele...
Back
Top Bottom