muongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mpenzi wake alidanganyika na plans za muongo wa mtandaoni akamwacha hustler, sasa anaomba ushauri

    was a happy family. Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni. Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali. Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako...
  2. J

    David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

    === Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila, Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania...
  3. T

    Mnyika agoma kujibu swali la Wasafi Media, walitaka athibitishe kama Mbowe ni muongo

    Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa rahisi sana. Kwa mtu kama katibu mkuu wa chama sikutarajia azingue kizembe kama vile!
  4. M

    Marwa Ryoba Chacha: Wenje ni muongo sana, haka kajamaa ni kaongo mno

    Aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA katika Bunge la 11 ( 2015-2020) Mhe Marwa Ryoba Chacha amesema Ezekiah Wenje ni kiongozi muongo muongo sana. Michango yao kama wabunge kwenda kwenye chama ilikatwa moja kwa moja ( automatically) toka kwenye Mishahara yao na wao waliingiziwa bakaa tu kwenye akaunti...
  5. britanicca

    Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi. Mifano ni hii hapa chini

    1. Alimkaba Magufuli kuhusu makinikia tukadanganywa na hela ya Noah kwa kila mbongo 2. Alimkaba Kila mla Rushwa wa Escrow 3. Kawakaba wabunge wenzake 4. Sasa yuko na Abdul na wenje 5. Viti maalumu CHADEMA wanapata baada ya kulamba asali Fulani 6. Mama Samia kashindwa nchi 7. Burungutu la Pesa...
  6. chiembe

    Wenje: Lissu ni muongo sana

    Akihojiwa na wasafi media, moja kati ya viongozi waandamizi wa chadema, Mr. Wenje amesema kwamba Lissu ni moja kati ya waandamizi wa uongo katika chama hicho. Na mara kadhaa amejaribu kupenyeza taarifa za uongo kufitinisha na kugombanisha viongozi wenzake wa chadema. Lissu mara kadhaa pia...
  7. T

    Wenje: Lissu ni muongo muongo sana

    Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana. Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
  8. comte

    WENJE: Lissu ni muongo, mzushi na mchafua watu (character assassinator)

    Makamu Lissu amechafua kila mtu https://www.youtube.com/watch?v=K41w3m6jjT4
  9. britanicca

    Udadavuzi huru: Kuna ukakasi kwenye Taarifa ya Polisi juu ukamatwaji wa nondo, ama Nondo au Polisi kuna muongo

    Hii scene ilipangwa tu 1. Kwanza unakamatwa kwa purukushani na inadondoka begi lenye vitambulisho wala si simu wala kingine! Ni ili watu watambue katekwa Nani 2. ⁠Millard Ayo anafanya coverage ya masaa 24 ku report kinachoendelea wakati siyo tabia yake 3. ⁠Inatoka report ya polis aina ya...
  10. Manyanza

    Dawa ya Mwanamke Msaliti na Muongo

  11. F

    Sikujua kumbe muongo

    Hello wakuu Kuna Uzi niliandika hapa JINSI YA KUMUACHA MWANAMKE ALIYEKUGANDA. Sasa kumbe huyu manzi muongo age ishamtupa mkono aliniambia ana miaka 28 wakati mm nina 24 nikaona isiwe kesi amenizid kidogo tu life acha lisonge. Mmh Jana katika pitapita Facebook nikaona profile yake ya kitambo...
  12. GoldDhahabu

    Wanasiasa ni waongo, lakini si kila mwanasiasa ni muongo

    Elezea mtazamo wako kwa kutumia mifano ya wanasiasa maarufu.
  13. GoldDhahabu

    Wanasiasa ni waongo, lakini si kila mwanasiasa ni muongo

    Tumia mifano ya wanasiasa maarufu kueleza msimamo wako.
  14. Rule L

    Miaka mitatu ya mateso ya Simba utadhani ni muongo mmoja umepita

    Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana. Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote. Baada ya miaka kadhaa nayeye akafulia, Sasa kwake ilikua ni hatari akawa anajiuliza kwamba hivi hata...
  15. F

    "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
  16. D

    Ili uwe muongo mzuri ni lazima macho na kinywa vipatane.

    Macho yawe makavu na yasiyo pepesa pepesa, Na mdomo unene firmly
  17. M

    Prof Kitila Mkumbo amekuwa muongo sana. Mijini tu hakuna maji sembuse vijijini?

    Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma. Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi...
  18. A

    DOKEZO DC Magembe (Geita) ni muongo, anastahili kuchunguzwa na mamlaka

    Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza na media na anafanya hivyo kwa malengo binafsi wala si uzalendo. Zahara Michuzi alipata ruhusa kwa...
  19. M

    Jasusi anayejinasibu kuwa shushushu mbobebezi, alishindwaje kujua ukweli wa Sifika Daniely

    Yericko Nyerere, aliandika huko Facebook Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa...
  20. OKW BOBAN SUNZU

    Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

    Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji. Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
Back
Top Bottom