Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa jana walizuia mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa lengo la kumlinda yeye pamoja na waandishi, kutopata maambukizi ya COVID-19 na kwamba kama alikuwa na jambo basi angeenda kulisemea Bungeni.
Pia soma > Polisi Dodoma...