muslim

  1. Y

    Raddi kwa Muslim University of Morogoro na Islamic Seminaries zote za Tanzania.

    Assalam alaykum jamiah . naam, leo nimekuja kuwananga ndugu zangu waislamu (Wahadhiri) wa Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro pamoja na walimu wa shule za msingi na sekondari za kiislamu, hususan zinazojiita seminari. Katika uzi huu nitaangazia nukta moja tu kwa vile ninazo nukta kadhaa za kusema...
  2. Tanzania Muslim & Youth Association (TAMSYA) toeni tamko yanayoendelea Lebanon

    Watukufu Viongozi wa TAMSYA, Assalam Aleikum. 1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote? 2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini? 3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
  3. Muslim University of Moro: Centre of Excellence!

    Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura). NB: Asante MUM...
  4. M

    "University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them

    "University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them for their safety. How beautiful Scene!"
  5. J

    Je, umefika wakati Wapalestina kutambua Muslim Brotherhood wanatumia vibaya ili kutimiza agenda yao ya kisiasa?

    Kwa Watanzania wengi Muslim Brotherhood unaweza isiwasitue sana hasa ukizungumzia ubaya wa Ugaidi. Lakini tusichojua ni kuwa Muslim Brotherhood ndiyo ambao wamekuwa nyuma ya panzia ya utendaji wa Alqaida, ISIS Salafi na kwa sasa Hamas. Muslim Brotherhood ilianzishwa mwanzoni kabisa mwa Karne ya...
  6. Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu ambao una mchanganyiko wa BAKWATA na wawakilishi wa iliyokuwa EAMWS. Na kwenye mkutano huo HAKUKUWA na...
  7. J

    A dialogue between a Muslim and an atheist

    Post See new posts A dialogue between a Muslim and an atheist: @imtiazMadmood Muslim: There are over 1.8 billion Muslims in the World. Islam is the fastest growing religion and we'll overcome the Infidels. Atheist: The 1.8 billion include Ahmadis & Qadianis? Muslim: No, Ahmadi Qadiyanis dogs...
  8. B

    World Muslim Link yatoa msaada wa kilo 3 za Maharage kwa yatima kutoka Serikali ya Saudia, Mstahiki Mayor wa Temeke awashukuru

    Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida. Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika...
  9. Kaulimbiu ya Muslim university of Morogoro imekosewa

    Motto: Read in the Name of Allah Hii kaulimbiu haijakaa sawa, wajaribu kutafuta maneno sahihi ya kiingereza
  10. M

    Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

    Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21. Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
  11. CHADEMA inafuata mkondo wa Muslim Brotherhood? Je watarudia makosa yao?

    Kwa watu wanaonijua vyema, nina karama na uwezo wa kusoma siasa za nchi fulani na kutabiri mabadiliko ambayo wengi wanakuwa bado hawajayaona. Haya si majisifu, nasema tu ukweli. Nilifanya hivyo kwa Obama kabla hajawa maarufu sana, nilifanya hivyo kwa Uhuru Kenyatta wakati huo anashika nafasi za...
  12. Shule ya Kinondoni Muslim inawaka moto Kinondoni

    Nimepewa code mitaa hiyo kuna moto. Mwenye kujua zaidi atupe taarifa Ova ====== Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Kinondoni Shamba amesema alipoongea na wanafunzi wamesema chanzo ni umeme lakini bado haijathibitishwa rasmi. Amesema moto unaendelea kusambaa kwa sababu baada ya kutoa taarifa...
  13. Muslim and black soldiers in British Army

  14. Arab Muslim: World architecture of slavery in Africa

    Sheik Saleh Al-Fawzan is a well-known scholar, leading Saudi Government cleric, and prolific author of the country’s religious curriculum. He believes Islam advocates slavery. Al-Fawzan argues against the idea that slavery has ever been abolished, insulting those who espouse this view as...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…