UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA
Kumbukumbu:
Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo
Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka amezindua utoaji wa Huduma za Afya kwenye Kituo kipya cha Afya cha Kata ya Makojo (vijiji vya Chimati, Chitare na Makojo)
Jimbo la Musoma Vijijini linaendelea kuboresha na kuimarisha utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Kata zake 21 zenye jumla ya vijiji...
USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye vijiji 68 linayo miradi ya usambazaji wa maji ya bomba ndani ya vijiji vyote 68 - tunaishukuru sana Serikali yetu
Mradi wa Kata za Busambara & Kiriba:
Tenki la ujazo wa lita 500,000 limejengwa Kijijini Mwiringo kwa...
Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo.
Waliohudhuria Kikao hicho:
(i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo
(ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
MUSOMA VIJIJINI INAJITAYARISHA KUFUNGUA SEKONDARI MPYA SITA (6) MWAKANI (2025)
Kipaumbele namba moja cha Jimbo la Musoma Vijijini kinatekelezwa kwa kasi ya kuridhisha.
Kipaumbele hicho ni: ELIMU
Jimbo lina Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374. Tunazo Sekondari za Kata 26 na za Binafsi ni...
WANAVIJIJI WAIPOKEA ZAWADI YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA SHANGWE TELE
Leo, Kituo cha Afya cha Kata ya Bugwema kimepokea Gari jipya la Wagonjwa (Ambulance) kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Wanavijiji kutoka Kata hiyo yenye vijiji vinne (Bugwema, Kinyang'erere, Masinono na...
MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA
Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
CRDB YAFUNGUA TAWI LAKE MUSOMA VIJIJINI
Mgeni Rasmi:
Ndugu Gerald Musabila Kusaya
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Mahali:
Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango
Leo, Alhamisi, 19.12.2024 Benki ya CRDB imefungua Tawi lake Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango.
Mgeni Rasmi alikuwa Ndugu Gerald Musabila...
ZAHANATI INAYOJENGWA KIJIJINI NYASAUNGU KUANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA MWEZI DISEMBA 2024
Kijiji cha Nyasaungu chenye vitongoji vitano (5) kinakamilisha ujenzi wa zahanati yake ambayo inatarajiwa kuanza kutoa Huduma za Afya ifikapo Disemba 2024
Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya...
MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji kwa siku - haya ni maji mengi mno ukilinganisha na mahitaji ya maji ya kila siku ya Mji wa Musoma...
UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU VYA MAJI UMEANZA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Jumatatu, 26.8.2024, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC), Dkt Khalfany Haule amepokea na kushuhudia gari lenye mtambo wa uchimbaji wa visima virefu vya maji ukianza kazi kwenye Kata ya Bugwema ya Jimboni mwetu.
Jimbo letu...
WANANCHI WAONGEZA KASI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA KWENYE KATA ZETU
Jimbo la Musoma Vijijini linaongeza kasi ya ujenzi wa sekondari mpya za Kata kwa kushirikiana vizuri na Serikali yetu.
Vilevile, kasi imeongezeka kwenye ujenzi wa maabara tatu (3) za masomo ya sayansi (physics, chemistry &...
ELIM
ELIMU YA SEKONDARI NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Ukubwa wa Jimbo letu:
Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374
Idadi ya sekondari Jimboni mwetu:
+26 za Kata zinatoa elimu
+2 za Binafsi zinatoa elimu
+3 mpya zinajengwa kwa fedha za Serikali Kuu. Wanavijiji kuchangia nguvukazi
+3 mpya...
Tumeanza kupata usajili wa "High Schools za Masomo ya Sayansi:"
(i) Suguti Sekondari itakuwa na "High School" ya masomo ya: PCM, PCB, CBG na EGM
(ii) Mugango Sekondari itakuwa na "High School" ya masomo ya: CBG na EGM
Kila Sekondari iliyotajwa hapo juu ina maabara 3 za masomo ya sayansi...
Serikali imetoa fedha kwa Kata mbili (2) kujenga sekondari mpya za Kata hizo.
Kata hizo ni:
1. Nyamrandirira
Sekondari itajengwa Kijijini Kasoma
2. Bukima
Sekondari itajengwa Kijijini Butata
Serikali imetenga Tsh 584,280,000.000 (Tsh 584.28m) kwa ujenzi wa kila moja!
Ushauri...
VIJIJI VYA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI VYAENDELEA KUSAMBAZIWA MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA
Wiki hii imekuwa ya furaha tele kwa vijiji vya Mabuimerafuru (Kata ya Musanja) na Chumwi (Kata ya Nyamrandirira) kupata maji ya bomba ya kutoka Ziwa Victoria.
Tenki la ujazo wa lita 300,000 limejengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.