musoma vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini: Twende kwa Kasi Kubwa

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA Kumbukumbu: Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
  2. Utoaji wa Huduma za Afya Waendelea Kuboreshwa na Kuimarika Musoma Vijijini

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka amezindua utoaji wa Huduma za Afya kwenye Kituo kipya cha Afya cha Kata ya Makojo (vijiji vya Chimati, Chitare na Makojo) Jimbo la Musoma Vijijini linaendelea kuboresha na kuimarisha utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Kata zake 21 zenye jumla ya vijiji...
  3. Usambazaji wa Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye vijiji 68 linayo miradi ya usambazaji wa maji ya bomba ndani ya vijiji vyote 68 - tunaishukuru sana Serikali yetu Mradi wa Kata za Busambara & Kiriba: Tenki la ujazo wa lita 500,000 limejengwa Kijijini Mwiringo kwa...
  4. Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini Yagawa Vifaa vya Ujenzi

    Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. Waliohudhuria Kikao hicho: (i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo (ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
  5. Musoma Vijijini Inajitayarisha Kufungua Sekondari Mpya Sita (6) Mwakani 2025

    MUSOMA VIJIJINI INAJITAYARISHA KUFUNGUA SEKONDARI MPYA SITA (6) MWAKANI (2025) Kipaumbele namba moja cha Jimbo la Musoma Vijijini kinatekelezwa kwa kasi ya kuridhisha. Kipaumbele hicho ni: ELIMU Jimbo lina Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374. Tunazo Sekondari za Kata 26 na za Binafsi ni...
  6. Wanavijiji Waipokea Zawadi ya Rais Samia kwa Shangwe Tele - Musoma Vijijini

    WANAVIJIJI WAIPOKEA ZAWADI YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA SHANGWE TELE Leo, Kituo cha Afya cha Kata ya Bugwema kimepokea Gari jipya la Wagonjwa (Ambulance) kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Wanavijiji kutoka Kata hiyo yenye vijiji vinne (Bugwema, Kinyang'erere, Masinono na...
  7. Mbunge wa Jimbo Apongeza Vijana 32 wa Musoma Vijijini Waliotembea kwa Miguu Kutoka Butiama - Mwanza

    MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
  8. CRDB Yafungua Tawi Lake Musoma Vijijini

    CRDB YAFUNGUA TAWI LAKE MUSOMA VIJIJINI Mgeni Rasmi: Ndugu Gerald Musabila Kusaya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Mahali: Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango Leo, Alhamisi, 19.12.2024 Benki ya CRDB imefungua Tawi lake Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango. Mgeni Rasmi alikuwa Ndugu Gerald Musabila...
  9. Zahanati Inayojengwa Nyasaungu Kuanza Kutoa Huduma za Afya Disemba 2024 - Musoma Vijijini

    ZAHANATI INAYOJENGWA KIJIJINI NYASAUNGU KUANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA MWEZI DISEMBA 2024 Kijiji cha Nyasaungu chenye vitongoji vitano (5) kinakamilisha ujenzi wa zahanati yake ambayo inatarajiwa kuanza kutoa Huduma za Afya ifikapo Disemba 2024 Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya...
  10. MUWASA Yaendelea Kusambaza Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji kwa siku - haya ni maji mengi mno ukilinganisha na mahitaji ya maji ya kila siku ya Mji wa Musoma...
  11. Uchimbaji wa Visima Virefu vya Maji Umeanza Ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU VYA MAJI UMEANZA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Jumatatu, 26.8.2024, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC), Dkt Khalfany Haule amepokea na kushuhudia gari lenye mtambo wa uchimbaji wa visima virefu vya maji ukianza kazi kwenye Kata ya Bugwema ya Jimboni mwetu. Jimbo letu...
  12. Wananchi Waongeza Kasi ya Ujenzi wa Sekondari Mpya Kwenye Kata za Jimbo la Musoma Vijijini

    WANANCHI WAONGEZA KASI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA KWENYE KATA ZETU Jimbo la Musoma Vijijini linaongeza kasi ya ujenzi wa sekondari mpya za Kata kwa kushirikiana vizuri na Serikali yetu. Vilevile, kasi imeongezeka kwenye ujenzi wa maabara tatu (3) za masomo ya sayansi (physics, chemistry &...
  13. Elimu ya Sekondari Ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    ELIM ELIMU YA SEKONDARI NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Ukubwa wa Jimbo letu: Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374 Idadi ya sekondari Jimboni mwetu: +26 za Kata zinatoa elimu +2 za Binafsi zinatoa elimu +3 mpya zinajengwa kwa fedha za Serikali Kuu. Wanavijiji kuchangia nguvukazi +3 mpya...
  14. Uanzishwaji wa "High Schools" za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zetu za Kata: Musoma Vijijini

    Tumeanza kupata usajili wa "High Schools za Masomo ya Sayansi:" (i) Suguti Sekondari itakuwa na "High School" ya masomo ya: PCM, PCB, CBG na EGM (ii) Mugango Sekondari itakuwa na "High School" ya masomo ya: CBG na EGM Kila Sekondari iliyotajwa hapo juu ina maabara 3 za masomo ya sayansi...
  15. Jimbo la Musoma Vijijini: Serikali Yaendelea Kuchangia Ujenzi wa Sekondari Mpya za Kata

    Serikali imetoa fedha kwa Kata mbili (2) kujenga sekondari mpya za Kata hizo. Kata hizo ni: 1. Nyamrandirira Sekondari itajengwa Kijijini Kasoma 2. Bukima Sekondari itajengwa Kijijini Butata Serikali imetenga Tsh 584,280,000.000 (Tsh 584.28m) kwa ujenzi wa kila moja! Ushauri...
  16. Vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini Vyaendelea Kusambaziwa Maji ya Bomba Kutoka Ziwa Victoria

    VIJIJI VYA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI VYAENDELEA KUSAMBAZIWA MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA Wiki hii imekuwa ya furaha tele kwa vijiji vya Mabuimerafuru (Kata ya Musanja) na Chumwi (Kata ya Nyamrandirira) kupata maji ya bomba ya kutoka Ziwa Victoria. Tenki la ujazo wa lita 300,000 limejengwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…